Karibu katika blogger hii ya kijamii ili utoe mchango wako kwa tumia namba 0767 404501/0787 404501/0658 404501
Tuesday, December 11, 2012
KAMA HALI NDIYO HII ULINZI WA RAIA NA MALI ZAO UPO MASHAKANI.
Askari wa kituo kidogo cha polisi cha Buziku wilayani chato mkoani geita wakiwa wameuchapa usingizi majira ya saa 7:30 mchana kama walivyokutwa na mmiliki wa blog hii.
Friday, December 7, 2012
VITAMU LAKINI VINAMADHARA YAKE
Wednesday, December 5, 2012
BAADHI YA VIKOMBE VILIVYOTOLEWA KWENYE MASHINDANO YA TAMASHA LA JIFUNZE BILA UOGA WILAYANI GEITA.....YALIYOANDALIWA NA MASHARIKA YASIYO YA KISERIKALI WILAYANI GEITA YA PLAN INTERNATIONAL NA THE INFORMED RURAL SOCIETY.
VIONGOZI WAPYA WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU MKOA WA GEITA (GEREFA)
Sunday, December 2, 2012
BAADHI YA MATUKIO KATIKA ARUSI YA BW,SAMIR SHIDA LUDOMYA NA BI,MARIAM MKUMBO SHEREHE AMBAZO ZILIFANYIA CHATO KATIKA UKUMBI WA GIRAFFE PUB.
PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA ZIARA YA MKUU WA POLISI NCHINI SAID MWEMA ALIPOTEMBELEA WILAYANI CHATO MKOANI GEITA.