Karibu katika blogger hii ya kijamii ili utoe mchango wako kwa tumia namba 0767 404501/0787 404501/0658 404501
Thursday, May 9, 2013
JESHI LA POLISI CHATO LAFUNDWA
MIKUTANO YA CHADEMA WILAYANI CHATO.
MVUA YALETA MADHARA MAKUBWA KWA WANANCHI CHATO
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani chato mkoani geita zimesababisha adha kubwa kwa wakazi wa kijiji cha Kasenga na Imarabupina baada ya kufulika maji kwenye daraja linalo unganisha vijiji hivyo.